You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Masuala ya Jamii
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
16.05.2024
16 Mei 2024
Brazil yatangaza msaada kwa familia zilizokumbwa na mafuriko
16.05.2024
16 Mei 2024
UN: Sudan inakabiliwa na ghasia na uhaba wa misaada
16.05.2024
16 Mei 2024
HRW yaonya ongezeko la ukandamizaji wanaharakati Thailand
15.05.2024
15 Mei 2024
Mapambano makali yashuhudiwa kusini na kaskazini mwa Gaza
14.05.2024
14 Mei 2024
Watu wanne wanasa katika jengo lililoporomoka Nairobi
14.05.2024
14 Mei 2024
EU yaidhinisha makubaliano ya kudhibiti wahamiaji
Onesha zaidi
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Onyesha mandhari kutoka dirishani kwako, ujishindie zawadi!
Onyesha mandhari kutoka dirishani kwako, ujishindie zawadi!
Unaona nini kutokea dirishani kwako? Tuonyeshe, waweza kuwa na bahati ya kujishindia zawadi za DW.
Dola bilioni 2.2 zaahidiwa kwa ajili ya nishati safi Afrika
Dola bilioni 2.2 zaahidiwa kwa ajili ya nishati safi Afrika
Benki ya Maendeleo ya Afrika na Shirika la kimataifa la nishati IEA zinatarajia kukusanya fedha dola bilioni 2.2 .
Makala yetu leo: Athari za mafuriko nchini Tanzania
Makala yetu leo: Athari za mafuriko nchini Tanzania
Makala Yetu leo inaangalia athari zilizotokana na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko makubwa Tanzania.
Kenya bado yakabiliwa na maporomoko ya ardhi
Kenya bado yakabiliwa na maporomoko ya ardhi
Tumezungumza na afisa wa kitengo cha kushughulikia majanga katika shirika la Msalaba Mwekundu Kenya kuhusu hali ilivyo.
Afrika yahitaji mabilioni ya majiko salama, IEA
Afrika yahitaji mabilioni ya majiko salama, IEA
Uchafuzi wa mazingira unapoendelea kusababisha maafa, inakadiriwa kuwa Afrika inahitaji mabilioni ya majiko salama.
Wachambuzi watilia shaka uwezo wa vikosi vya SADC huko Congo
Wachambuzi watilia shaka uwezo wa vikosi vya SADC huko Congo
Wachambuzi wanasema kwa sasa ufadhili kutoka Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya unasubiriwa kusaidia vikosi vya SADC.
Onesha zaidi
Ruka sehemu inayofuata Mtazamo wa kina
Mtazamo wa kina
Msichana Jasiri
Kila msichana ana nafasi sawa kuwa jasiri - Msichana Jasiri!
Msichana anayepigania kutokomeza ndoa za utotoni
Msichana anayepigania kutokomeza ndoa za utotoni
Mamilioni ya wasichana kila mwaka huathirika na ndoa za utotoni ambazo zinawakosesha haki ya msingi ya elimu, matatizo ya afya ya uzazi pamoja na kukosa malezi ya wazazi wao. Hayo ni maneno ya Jenniffer Fred, mwanaharakati aliyeamua kulivalia njuga na kusambaza elimu ili kutokomeza ndoa za utotoni. Na huyu leo ndio #msichana wetu #jasiri. #msichanajasiri #hakizawatoto #hakiyaelimu
Mwanaharakati wa haki za watoto wa mitaani Tanzania
Mwanaharakati wa haki za watoto wa mitaani Tanzania
Kundi la watoto wa mtaani ni kundi ambalo linaendelea kuongezeka kwa kasi huku watoto hawa wakiwa hawana elimu madhubuti kutokana na ukatili wanaokutana nao, lakini juhudi za wanaharakati wa masuala ya kijamii ni zipi katika kuhakikisha kuwa wanalisaidia kundi hili. Jackline Joseph ni mwanaharakati ambaye amejitolea katika kulisaidia watoto katika kuwapatia elimu dhidi ya ukatili.
Chipukizi wa muziki wa kizazi kipya
Chipukizi wa muziki wa kizazi kipya
Precious ni mwanamuziki chipukizi wa kizazi kipya kutoka Tanzania ambaye Uwezo wake wa kutumbuiza katika majukwaa umempa sababu ya kuwa mfano kwa watoto wengine. Anasema baba yake ndiye aliyempa msukumo mkubwa wa kunoa kipaji chake. #msichanajasiri.
Gundua zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Masuala maalumu na matukio
Masuala maalumu na matukio
DW Kiswahili inapatikana kupitia mtandao wa Instagram
Jielimishe zaidi
Ruka sehemu inayofuata Safari, maisha na zaidi
Safari, maisha na zaidi
Talanta na elimu ipi muhimu katika kutafuta nafasi za ajira?
Makala ya Vijana Mubashara inauliza je, kati ya talanta na elimu unafikiri ni kipi kinachostahili kuangaziwa zaidi katika kutoa nafasi za ajira hasa kwa vijana? Utawasikia vijana wakijadiliana kwa kina mada hii katika kipindi hiki. Jacob Safari amezungumza nao katika kipindi hiki cha vijana Mubashara, 77asilimia
Vijana na ushiriki wao wa densi katika mitandao ya kijamii
Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii bila shaka hivi karibuni utakuwa umekutana na vidio chungu nzima za vijana wakicheza aina mbalimbali za miziki. Mitandao ya kijamii kama vile YouTube, Tiktok, Facebook na Instagram sasa imegeuka kuwa jukwaa la vijana kuonyesha umahiri wao wa kucheza muziki. Nini kinasababisha vijana kushiriki densi hizo?
Nini kinafanya vijana kuvalia mavazi ya kupitiliza msibani?
Hapo kale taarifa ya msiba ilipokuwa ikiwafikia wengi, kubwa lililokuwa likiwajia vichwani ni kuhakikisha wanafika ulipo msiba na kutoa msaada wa kufariji wafiwa. Lakini sasa hali ni tofauti vijana wana namna yao ya kufika msibani, wakiwa wamevalia kweli kweli. Suali ni je nani yupo nyuma ya mtindo huu wa maisha kwa vijana wa sasa. Vijana Mchakamchaka inaangazia hilo. mtayarishaji ni Hawa Bihoga
Matangazo